Thursday, December 11, 2014

JUBILEE YA MIAKA 75 YA TAG














 HIKI NI CHUMBA MAALUM CHA KURUSHIA MATANGAZO KILICHOKO MJINI  MBEYA
(REDIO USHINDI)


 MAMIA YA WACHUNGAJI WAKISIMIKWA RASMI TAYARI KWA UTUMISHI..NI KATIKA
KUSHEREKEA MIAKA 75 YA KANISA LA TAG TANGU LIANZISHWE MJINI MBEYA-IGALE
NA HAWA NI MAMIA YA WATOTO WAKISHEREHESHA KATIKA KILELE CHA JUBILEE
YA MIAKA 75 YA KUANZISHWA KWA KANISA LA TAG

No comments:

Post a Comment