Events











































 SHAMLASHAMLA YA KUADHIMISHA MIAKA 75 YA KANISA LA TAG TANGU LIANZISHWE NCHINI TANZANIA KATIKA MKOA WA MBEYA KIJIJI CHA IGALE




 MH.RAIS.J.M.KIKWETE AKIKABIDHIWA KIKOMBE NA ASKOFU MKUU WA KANISA LA TAG
KATIKA SHEREHE YA KUADHIMISHA MIAKA 75 YA KANISA LA TAG KTK VIWANJA VYA SOKOINE MJINI MBEYA

 BAADHI YA VIONGOZI WASTAAFU WA KANISA LA TAG WAKIVISHWA NISHANI NA UTUMISHI BORA WAKATI WA UONGOZI WAO NA MH.RAISI .JM..KIKWETE


 ASKOFU MSTAAFU RANWEL MWENISONGOLE AKIVISHWA NISHANI NA RAIS.JAKAYA M.KIWETE




 MAKAMU ASKOFU MSTAAFU DR.Z.SWAI AKIJIANDAA KUVISHWA NISHANI NA RAISI WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA.MH.J.M.KIKWETE




MH.RAISI .J.M.KIKWETE AKIMTENGENEZA VIZURI MTUMISHI WA MUNGU KOTI LAKE BAADA YA KUMVALISHA NISHANI YA UTUMISHI BORA KATIKA SELIKALI YA MBINGUNI




HILI NDILO KANISA LA IGALE(CHIMBUKO LA KANISA LA TAG)
 HUYU NDIYE MCHUNGAJI ANAYE CHUNGA KANISA HILO
                                                          

                                        KAMATI KUU YA TAG IKIONGOZWA
                                           NA ASKOFU MKUU WA KANISA
                                LA TAG(BARNABUS MTOKA MBALI) WAKIWA KATIKA
                                 PICHA YA PAMOJA MBELE YA JENGO LA KANISA JIPYA























 HII NI KWAYA YA KINDONI REVIVAL CHURCH CHINI YA MWALIM WAO YOTHAM.MAKENZIE IKITUMBWIZA WAKATI WA UZINDUZI YA ALBUM YAO MPYA
















             KWAYA MAALUM IKITUMBWIZA SIKU YA JUBILEE YA MIAKA 75
 HAYA NI MAELFU YA WATUMISHI WA MUNGU TOKA KONA ZOTE ZA TANZANIA
WAKIWA WAMEFURIKA KATIKA VIWANJA VYA SOKOINE MJINI MBEYA

              WASHIRIKA WA KINONDONI REVIVAL CHURCH WAKIWA
                      KATIKA HALI YA WAKUMWABUDU MUNGU
 VIONGOZI WA IDARA YA VIJANA CHINI YA MKURUGENZI MKUU EMMANUEL KAVISHE
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA HILO


 MWIMBAJI CHIPUKIZI REHEMA PASCALNYAMWIHULA  AKIMWIMBIA MUNGU KATIKA
MKUTANO ULIOANDALIWA NA VIJANA WA KRC KATIKA VIWANJA VYA
                                        VEGAS-MWANANYAMALA

 JENGO JIPYA KANISA LA IGALE LILILOKO MKOA WA MBEYA


 ASKOFU MKUU WA KANISA LA TAG BARNABUS MTOKAMBALI AKIWA KATIKA PICHA NA VIONGOZI WA KANISA LA TAG KINONDONI CHINI YA MCHUNGAJI KIONGOZI        .DR.R.Z.SWAI

MWINJILISITI PASCAL DANFORD MANDE AKIONYESHA MFANO  JINSI ALIVYOKUWA AKIDANGANYWA NA WACHAWI KABLA AJAKUTANA NA MWANAUME YESU
MH.J.M.KIKWETE AKIMVISHA NISHANI ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA TAG MCH.YUSUF MBELWA
PICHA YA PAMOJA YA VIONGOZI WA KITAIFA WA KANISA LA TAG WAKIWA NA VIONGOZI WA KITAIFA WA SELIKALI YA TANZANIA






PICHANI NI WAINJILISTI WA KITAIFA WAKIWEKWA WAKFU KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 75 YA KUANZISHWA KWA KANISA LA TAG MBEYA

WA KWANZA KULIA NI MWINJILISTI WA KIMATAIFA REV.CHRISTOPHER.P. MLAPONI (KRC)